Nakas property
Member
- May 8, 2021
- 34
- 18
Nadhan atakua anamaanisha 20*40 au 40*20 na sio 40*40.Kwa tafsiri hiyo una maanisha ni 40 kwa 40 kwa bei ya 5.5?
Cheka umbali gani toka ferry? Unapita kibada?Plot Zipo cheka kigamboni zimebaki mbili
Kwa pamoja Bei ya awali ml 4 kila moja sasa Bei ya punguzo kwa zote mbili ml 5.5
Ukubwa no 20×20 zipo karibu na chuo Cha Silva una weza Jenga hostel ukapiga pesa
0713672719
0787672719
View attachment 1993326
Kilometers 20 kutoka ferry mkuuCheka umbali gani toka ferry? Unapita kibada?
Hupitii kibada ukitoka ferry una nyooshaKilometers 20 kutoka ferry mkuu
Halafu hayo mambo ya jenga hostel au frame utapiga pesa hapo,huwaga yananitia shaka sanaPlot Zipo cheka kigamboni zimebaki mbili