Plot4Sale Plot4sale at boko

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
1,012
Reaction score
741
Uwanja una uzio na frem zipo mbele uwanja upo boko unauzwa bei ya kutupa kabisaaaa. barabara ninzuripaka kwenye kiwanja uwanja huu mwenyewe amekata eneo lake anauza nayeye yupo hapo hapo una sqm 950 bei 55milion. Wahi sasa kama unahitaji kiwanja kwani hautamaliza week lazima uuzike kiukweli nimzuri na una sifa zote# contact 0712464777
 
Hio bei kubwa sana.
Uwanja ni bure sema kama unefanya maendeleo unarudishiwa hela ya maendelezo.
Acheni kujitaftia utajiri bila kufanya kazi,maafisa wa lukuvi najua imeona hili na watashughulikia
 
Hio bei kubwa sana.
Uwanja ni bure sema kama unefanya maendeleo unarudishiwa hela ya maendelezo.
Acheni kujitaftia utajiri bila kufanya kazi,maafisa wa lukuvi najua imeona hili na watashughulikia
Maskini utamjua tu, huna hela wewe endelea kukaa nyumba za kupanga tu. We unafikiri dsm utakuja kuuziwa kiwanja 3000#=
 
Hio bei kubwa sana.
Uwanja ni bure sema kama unefanya maendeleo unarudishiwa hela ya maendelezo.
Acheni kujitaftia utajiri bila kufanya kazi,maafisa wa lukuvi najua imeona hili na watashughulikia
Wewe hata bei za viwanja huzijui kabisaaa na hata ujenzi wa dsm hujui cost zake sikiliz vizuri kiongoz nilipo sema uwanja ni wa buree kabisaaa nilikuwa na maana kubwa sana kwani huo uwanja upo na uzio na kuna hizo frem hapo mbele yake sasa kwa akili ya kawaida tu hivi unaju gharama za kusimamisha fensi? Au gharama za kujenga fensi sasa hiyo bei niliyokutajia haiendani na hiyo plot hata kidogo ni sawa na buree kabisa mimi nina viwanja huku nauza sqm 700 kwa million 45/ 50 na unakuta majani kibao haujajengwa chochote........wewe hujui thamani ya ardhi lait ungejua usingeongea hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…