Mbona matangazo yako maelezo hayajitoshelezi .. wala picha kutoshaApartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini)
Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice.
Mawasiliano:
0784 829565
0767 833345
View attachment 2959671
Siku izi Masaki imehamia Mbweni.Masaki hii yenye barabara mbovu kuliko sehemu yoyote dar?
Labda uscum wazungu
Kwanini unadhani wajinga ndiyo watanunua kiwanja kama hicho? Hapo wananunua watu wenye fedha na siyo wajinga. Hivi unajua kuna mtu hiyo dola 700,000 ni fedha ndogo kabisa, yaani ni kama wewe umetoa laki tano?Wajinga ndio waliwao.
Usd 700k ni bei ya kujenga kiwanda!
Lini radhia yupo free tukakione, si kuna punguzo kidogo au ni fixed πΉπΉπΉEvelyn Salt njoo huku kuna kiwanja cha Billion 2ππ
Leo bora hata analike posts zetuLini radhia yupo free tukakione, si kuna punguzo kidogo au ni fixed πΉπΉπΉ