BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
Bei hakuna na hata picha[emoji849][emoji849]
Bei twataka
Bei hakuna na hata picha[emoji849][emoji849]
Call
Bei twataka
MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!Call
WEWE SIO MUUZAJI ULIYE SERIOUS ! UNA-DISPLAY BIDHAA SOKONI AU DUKANI ILI UUZE,HALAFU UNAFICHA BEI ! PIA UNAULIZWA BEI NA WANUNUZI HUTAKI KUITAJA.SASA HIYO BIDHAA UTAUZIKAJE ! HII NI MARKETING STYLE YA AJABU SANA .
Jamaa nimemcall anasema bei 750 milioni kwa vyote viwili
Mkuu punguza bei hata kama ndio tabia yako ya kidalali kuibia watu ,it is not fair
bei ni million 2?? mbona rahisi sana?? hvyo viwanja havina shida kweli?? maana kwa beo hyo ya millioni 2 ni rahisi sana