Buyuni iko Chanika. Hivi ni viwanja wakivyopewa wale jamaa wa tabata dampo waliobomolewa na manispaa ya Ilala na wakalipwa 20 m. Sasa mwanaume kaamua kufanya biashara. Lakini kama kipo kwenye barabara kuu kwa milioni 5 naona siyo mbaya unaweza weka frames za maduka au kituo cha mafuta au???. Kapewa bure anataka kuuza.