FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #61
yaani kuna vitu vyengine vidogo kweli watu wana complicate
utashindwaje ku deal na mumeo kwenye jambo dogo kama hilo?
utarudi kwenu utawaambia ambia vipi wazee? hamna sababu hata moja ya msingi
FL1 naomba kukuuliza......Hapa tunatakiwa tumshauri nani? mwanamke? Sasa tukishamshauri utaenda kumwambia mwanamke tuliyomshauri? Sasa mwanaume aspobadili tabia, utakuja kutuomba tena tumshauri na yeye?:confused2::confused2:
huyu dada ni mpole sana, we ameshakuambia chakula chako si kitamu sasa kwann wajisumbua kupika?
Sioni kitu cha kumfanya aende nyumbani je angefumania:confused2:!ndoa ina mambo mengi jamani siyo smiling face muda wote,akae chini na mumewe kwa hekima aongee nae hayo mambo yanayomtatiza asikie response ya mumewe.Labda tu nikulize FL1,aliwahi kuongea nae chochote kuhusu hizo kero?pia amtoe housegal na akae bila msaidizi kwa muda unless kama ana mtoto mdogo.Swala la kukagua makabati sioni tatizo,amwache akague hata mara 3 kwa siku up to him.
Anadai alishaongea nae ila jamaa haelewi bado anapitia jikoni kukagua vitu na matabia yake mengine ndo maana akasema sijui mewe ana matatizo gani?
Soma boldNi dada wa 28 years yuko na mmewe miaka miwili ya ndoa sasa ..lakini tabia za mmewe zimekuwa kero kwake.
Mwanamme amekuwa na tabia ya kupekuwa pekuwa jikoni makabati ,chumbani yeye akikaa ndani hatulii,mara atauliza mafuta ya kupikia mara hii yameisha ooh mchele mbona kipindi hiki umekaa kidogo kuvuruga makabati ya vyombo bila mpangilio..na ameshindwa kumwelewa kama yuko sawa.....
Kibaya zaidi kila dada anapopika chakula na mmewe akajua ni yeye kapika anakula na mwisho atasema chakula si kitamu,lakini kikipikwa na H/G anadai chakula cha leo kitamu..
Mkewe baada ya kuona hayo akawa anapika chakula anamwacha H/G apakue na kuandaa mezani .mme akimaliza kula anasifia kwa kujua kimepikwa na Beki tatu..Mwanzo alidhani ni kweli hajui kupika lakini baada ya kufanya mbinu hiyo ya kupika na kujifanya kama ni H/G kapika mme kusifia kabaki anashangaa.
Anadai amechoka na anataka kuikimbia ndoa hii,
Kina baba/mama msaidieni huyu mwanamama kimawazo??
NB: kwa niaba ya mwanamke mwenzangu
Ni dada wa 28 years yuko na mmewe miaka miwili ya ndoa sasa ..lakini tabia za mmewe zimekuwa kero kwake.
Mwanamme amekuwa na tabia ya kupekuwa pekuwa jikoni makabati ,chumbani yeye akikaa ndani hatulii,mara atauliza mafuta ya kupikia mara hii yameisha ooh mchele mbona kipindi hiki umekaa kidogo kuvuruga makabati ya vyombo bila mpangilio..na ameshindwa kumwelewa kama yuko sawa.....
Kibaya zaidi kila dada anapopika chakula na mmewe akajua ni yeye kapika anakula na mwisho atasema chakula si kitamu,lakini kikipikwa na H/G anadai chakula cha leo kitamu..
Mkewe baada ya kuona hayo akawa anapika chakula anamwacha H/G apakue na kuandaa mezani .mme akimaliza kula anasifia kwa kujua kimepikwa na Beki tatu..Mwanzo alidhani ni kweli hajui kupika lakini baada ya kufanya mbinu hiyo ya kupika na kujifanya kama ni H/G kapika mme kusifia kabaki anashangaa.
Anadai amechoka na anataka kuikimbia ndoa hii,
Kina baba/mama msaidieni huyu mwanamama kimawazo??
NB: kwa niaba ya mwanamke mwenzangu
jamani tukumbuke kuwa hakuna formula ya maisha ambayo inafanana kwa watu wote, kila ndoa zina style yao ya maisha!kama huyo mwanaume anakagua makabati na kufanya vituko vingine hiyo ni style tu ya maisha!wapo wana ndoa wengine ambapo kazi ya nyumbani zimegawanywa sawa!mama akiwa anapika, baba anapiga deki na maisha yanasonga!
Bacha basi huko kupekua jikoni kwa huyo mwanaume kungekuwa kunaendana na yeye kuosha vyombo hapo ingekuwa poa ila nahisi huyu jamaa chanzo cha huo upekuzi ni huyo HG na ndio maana nikashauri aondolewe huyo HG tuone kama ataendelea kufanya hivyo hata kama mkewe akiwa jikoni kama akiacha basi chanzo ni huyo HG.
Hivi maana ya Gubu ni nini maana huyu dada kanambia kwa kifupi mme wangu ana gubu ..
GUBU ni mapigo yatokanayo na maneno makaliHivi maana ya Gubu ni nini maana huyu dada kanambia kwa kifupi mme wangu ana gubu ..
Gubu maana yake jamaa ana kero
Sasa hiyo kama nitabia yake kwa kweli kumbadilisha ni ngumu. Anachotakiwa kufanya ni ku-ignore mambo mengine. Kuingia jikoni kutizama chakula, ampuuze tu unless awe na wasi wasi na huyo msichana wa kazi.
kama ana wasi wasi huo, amuondoe tu, akae bila ya msaidizi kwa muda.
GUBU ni mapigo yatokanayo na maneno makali
unapigwa maneno mpaka unalia
..Mke wangu ana gubu mpaka nduguze wanamhofia. ila mie nimezoea kucheza na nyoka wenye sumu naona burdani tuThanx Msanii najua maneno ni sumu kali unaweza kupewa neno moja ukawaza mpaka milenia tano zinaisha
Mkuu FAINESTI.. HG ni kama mwanamke mwingine yeyote.. Cha muhimu, huyo mpekuaji huwa anapekuwa wakati HG yupo jikoni au? Maana sioni shida ya mtu kupekua nyumba yake, labda anatafuta PANYA au KOMBAMWIKO. Ila cha muhimu, Mke amuondoe HG haraka iwezekanavyo. Huwezi sifia chakula kinachopikwa na Beki tatu.. Hata kama ni kweli cha my wife wako ni kibaya..
Hapo na mimi ndio nataka kujua je ni wakati HG akiwa yuko jikoni au la? Maana nashindwa kuelewa ila nafikiri FL1 inabidi amuulize huyo rafiki yake hili swali.
kama hana mtoto ajaribu kukaa bila HG kwa kipindi fulani.
Ila hayo ya kupekua michele ni balaa. hana kazi huyo baba? mi naona wababa wengi akisharudi home anakuwa amechoka sana anachowaza ni kupumzika, sasa huyo wa kupitia makabati ametokea wapi tena?
Ubahili mwingine balaa