Pls advice, tabia za mmewe zimemchosha...

Hakuna ndoa hapo. Huyo nmwanaume anakula beki 3 ndo maana anakuwa hivyo. Toka lini chakula cha mke kiwe kibaya? Au aliolewa mke na baba yake? Hana jipya.
 


Naye atafute houseboy alaf awe anamsifia kila kitu...
 
hiyo ndoa imeshakufa,bado sababu tu ya kuhalalisha kifo

but huyo mume alimtoa wapi?
au waliokotana msondo ngoma nini???????????
 
Loh huyo mwanaume anatabia za kike kweli kweli kukagua masufulia makabati kha hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…