Baringongo
Member
- Dec 12, 2016
- 97
- 90
Uhusiano upo tena uhusiano wa karibu.Habari za jumapili.
Ninatamani zaidi kufahamu kama upo uhusiano wa Moja Kwa moja kati ya kuongezeka Kwa utumiaji wa mafuta (petroleum) katika gari na muda uliotumia plug.
Pia muda sahihi wa kubadilisha plug Yani kama Kuna kilometers specific zikifika utahitaji kuchange plugs. View attachment 2257952
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea tafadhariUhusiano upo tena uhusiano wa karibu.
Muda wa kubadili plug itategemea na plug ulizofunga kama ni original au hizi za bei rahisi.
Endelea tafadhari
Shukrani mkuu. Kuna namna yoyote ya kutofautisha original na fake ukiachilia mbali issue ya tofauti ya price?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rav4 old engine s3 plug gani inafaa kwa hiyo engine?Karibu kila kampuni wanayotengeneza spark plugs wameshatoaga mwongozo wa spark plug fake na Original... ni suala la kutafuta.
Iridium spark plugs...Rav4 old engine s3 plug gani inafaa kwa hiyo engine?
Thanks broIridium spark plugs...