Plugs za Subaru Forester XT

Plugs za Subaru Forester XT

mwambyetete

Senior Member
Joined
May 17, 2018
Posts
132
Reaction score
202
Wapendwa Kheri ya mwaka Mpya.
Naomba msaada Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata plugs original za Subaru Forester XT ya 2009. Nilipatwa na changamoto iliyopelekea kutoa plugs za kuja na gari ! Niko mbeya mjini
 
Mkuu tuambie vizuri gari yako ilianza vipi kusumbua Hadi ukagundua tatizo ni plug? Mimi nataka nipate elimu kidogo na uzoefu kutoka kwako ili siku nyingine nikipata tatizo kama lako nisisumbuke

N,B
Jaribu kupata mawasiliano na huyu jamaa JituMirabaMinne anauza plug original na atakutumia Hadi Huko mbeya kumbuka huyu ni mtaalamu wa UMEME wa magari atakusaidia
 
Asantee saaana Mkuu,,,gari iliwekwa diesel bahati mbaya ndio chanzo Cha kubadili plug baada ya hapo kupata plugs original imekuwa shida
 
Back
Top Bottom