Plujim Astaajabia Ndumba Bongo

Plujim Astaajabia Ndumba Bongo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa tangu aanze kufundisha soka miaka 19 iliyopita, hajawahi kushuhudia kitendo cha kishirikina katika soka kama ilivyotokea hivi karibuni katika mchezo wao dhidi ya Shaba.
 
kwani mchezo dhidi ya shaba huo ushirikinaulitokeaje
 
Back
Top Bottom