ivi kwa nini siku hizi mamia ya wanafunzi kwenye vyuo vya juu hawajiheshimu. yaani wazazi wanajinyima kuwasomesha lakini percent 99 wanapotezea kwenye ufuska. siku hizi shule hakuna ni usanii tu. jamani hizo ngono mtazikuta tu na mtazichoka, malizeni masomo vizuri. mimi nasema elimu ya sasa ni kama ifuatavyo:
Std 7 ya miaka hii = kindergarten ya miaka ya nyuma
Form Four ya sasa= darasa la nne la zamani
form 6 ya sasa= darasa la saba la zamani
university level ya sasa=form 2 ya zamani
shule hakunaaaaaaaaaaa.