Plz help me

McDeedanny

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Nawasalim wote ndugu zangu,nilikuwa nauliza na kuuliza jmn so ujinga nikwamba cjui ndomaana nawauliza ndugu zangu,kutokana na matokeo kutoka ndugu zangu nimepata div 4 ya 29 so ndugu zangu nilikuwa nauliza naweza pata hata shule ya prvt form 5. Au chuo cha maanamaana
 
kama una d sita unaweza kabisa kusoma chuo certificate au ukienda cbe kama una d ya hesabu na math unawez chukua diploma
 
Thnkx bro ila cna ya hesabu ila english ninayo ila a level ctopata kabsa??
 
Thnkx bro ila cna ya hesabu ila english ninayo ila a level ctopata kabsa??

kama una credit mbili unaweza soma advance huku unatafuta moja.inawezekana.but kama huna credit piga shortcut chuo advance potezea alafu kaza msuli utafanikiwa kusoma digri unayotaka
 
dogo chuo kwa ngazi ya cheti unapata ila advance sidhani kwasababu advance private wanaitaji kwuanzia c 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…