Plz kwa wale wataalamu wa uwakala wa voda na tigo

Plz kwa wale wataalamu wa uwakala wa voda na tigo

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
Hivi ni lazima kuweka milioni moja kwenye account ukishapewa till namba au unaweza ukaweka hata pungufu?
 
Kama hela yako haitoshi na wanadai uweke m1, kopa mahala uiweke, ikisha ingia kwenye float yako deposit kwenye simu yako binafsi na utoe cash kwa wakala mwingine.
 
Back
Top Bottom