sajosojo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 1,021 Reaction score 636 Jul 17, 2012 #1 Hivi ni lazima kuweka milioni moja kwenye account ukishapewa till namba au unaweza ukaweka hata pungufu?
Hivi ni lazima kuweka milioni moja kwenye account ukishapewa till namba au unaweza ukaweka hata pungufu?
chash JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 548 Reaction score 230 Jul 17, 2012 #2 Kama hela yako haitoshi na wanadai uweke m1, kopa mahala uiweke, ikisha ingia kwenye float yako deposit kwenye simu yako binafsi na utoe cash kwa wakala mwingine.
Kama hela yako haitoshi na wanadai uweke m1, kopa mahala uiweke, ikisha ingia kwenye float yako deposit kwenye simu yako binafsi na utoe cash kwa wakala mwingine.