Mm ni msichana miaka 26 nina mpenzi ana miaka 28 tunauhusiano kama miezi minne tulizoea kuchat sana kwa njia ya message so kuna siku nikakosea kutuma text. hiyo message nilitaka kumtumia rafiki yangu kuwa namtakia maisha mema nikakosea nikamtumia mpenzi wangu tangu siku hiyo nikimpigia simu hapokei leo siku ya tano. kwa sababu hapokei simu nimemuomba msamaha kwa kutumia maneno mbalimbali kama message 100 haonyeshi dalili za kunisamehe. naomba ushauri nifanyeje
sms 100 nyingi sana, zinatosha. sasa zamu yako kukaa kimya usubirie upande wa pili, labda bado anatafakari, sasa unamchanganya tu na sms zako
Mm ni msichana miaka 26 nina mpenzi ana miaka 28 tunauhusiano kama miezi minne tulizoea kuchat sana kwa njia ya message so kuna siku nikakosea kutuma text. hiyo message nilitaka kumtumia rafiki yangu kuwa namtakia maisha mema nikakosea nikamtumia mpenzi wangu tangu siku hiyo nikimpigia simu hapokei leo siku ya tano. kwa sababu hapokei simu nimemuomba msamaha kwa kutumia maneno mbalimbali kama message 100 haonyeshi dalili za kunisamehe. naomba ushauri nifanyeje
Ni kweli, lakini kuna cha zaidi ambacho ataandika zaidi ya hizo sms 100? ni kurudia yale yale tusometimes one shud play hard to get!
Mi naona ingekuwa ni vyema ukatafuta muda mzuri, umfate ili ukaongee naye face 2 face..ila inakupasa uwe na ushahidi wa kutosha ili aelewe kuwa ulikosea tu, nahisi itakuwa rahisi kukuelewa..vinginevyo atakuwa na mengine huyo, labda ndiyo atakueleza vizuri.
me nipo dar yeye yuko dodoma
Ilikuwaje ukamuandikia sms huyo mlengwa ya kumtakia maisha mema?Haiingii akilini kumuandikia bint mwnzio sms ya kumtakia masiha mema lazima kilikuwa ni kidume tu! Anyway piga moyo konde na endelea kujishusha tu kwa huyo mpenzio ikiwezekana watumie rafiki zake wa karibu kutatua hili suala.
Andika email yako kwa ushauri zaid