manka mpalestina
Member
- Dec 19, 2011
- 32
- 4
Ugojwa wa sikosel unasababishwa na nini? Na kunaukweli wowote kuwa watu wenye uhu ugojwa miaka yao ya kuishi inahesabika.asanteni wana jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante dada ngojea niitafuteManka, pitia hili jukwaa MziziMkavu kadadavua uzuri.
Kwa ufupi sickle cell inatokana na viasili (genes), ambazo hurithiwa. Inahitaji pair ya viasili hivi ili ugonjwa udhihirike, ama sivyo unaweza kuwa na weak gene na isijitokeze japo inaweza kujitokeza kwa watoto.
Ugumu wa kuwa na maisha marefu ukiwa na sickle cell ni kuwa kwanza inasababisha upungufu wa damu mwilini(sickle cell anaemia) kwa sababu ya ku-impair uzalishwaji wa chembe nyekundu za damu. Chembe hizi pia ndo husafirisha oxygen, mahitaji ya mtu mzima ni tofauti na ya mtoto.