PM Majaliwa hayupo sawa kisaikolojia

PM Majaliwa hayupo sawa kisaikolojia

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Jana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo.

Huenda PM ana stress zake binafsi.

Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana!

Tumwombee.
 
Hivi huwa mnadhani PM au Rais ni miungu watu flani hivi na hawana hisia au hawaendi chooni?

Majaliwa kama mwanaume, baba, mume, mjomba na babu wa mtu flani lazima awe na mawazo from time to time.
 
aliaminishwa 2025 ni yeye mama amezingua akiwaza mali za ccm alizoziboresh na kuwa zake kesho akiw mtaa bila kinga atawaambia nn wachambuz wa mali za chama na kwao akubalik kama mtu mxima lakima kichwa kipige

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi makini hawezi kuvunja the whole system Nina uhakika Mh.PM, is safe in ongoing excerses /
 
Jana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo.

Huenda PM ana stress zake binafsi.

Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana!

Tumwombee.
Anajua vita ya siri aliyokuwa anampiga maza imebumbuluka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Maneno na lugha ya mwili ya Presidaa siku ile vilikua na maana kubwa sana, mimi ningekua Katelephone kitambo ningekua nimesarender. ..Wanatakiwa wapukutike kama nyoka avuavyo gamba ili kutengeneza mwili mpya. Maoni yangu wote ni magalasa Bunge livunjwe tuanze Upya basi.
 
"Walikua wananiita rais wa mpito . hukoo bungeni kwa akina kasim " . wanasema bora ukutane na simba kuliko kuchambwa na mzanzibar .
 
Hivi huwa mnadhani PM au Rais ni miungu watu flani hivi na hawana hisia au hawaendi chooni?

Majaliwa kama mwanaume, baba, mume, mjomba na babu wa mtu flani lazima awe na mawazo from time to time.
Ni kweli lakini kuna mawazo anaweza kuwa anayapitia kipindi hiki mpaka yakawa yanampepesua wallah. Sina hakika kama anauhakika kama huo mkeka umbao unategemewa kutolewa na mama kama atakuwemo. Maana mama anaweza kuamua kutoa bati kabisa kwenye nyumba na kuezeka upya. Familia yake kwa Sasa iwe karibu nae.
 
Back
Top Bottom