Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Si kweli!Umeandika kwa mtazamo wa kinachoendelea unataka kujua wezako wanajua nn
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Hivi huwa mnadhani PM au Rais ni miungu watu flani hivi na hawana hisia au hawaendi chooni?Jana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo.
Huenda PM ana stress zake binafsi.
Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana!
Tumwombee.
Anajua vita ya siri aliyokuwa anampiga maza imebumbulukaJana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo.
Huenda PM ana stress zake binafsi.
Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana!
Tumwombee.
Ni kweli lakini kuna mawazo anaweza kuwa anayapitia kipindi hiki mpaka yakawa yanampepesua wallah. Sina hakika kama anauhakika kama huo mkeka umbao unategemewa kutolewa na mama kama atakuwemo. Maana mama anaweza kuamua kutoa bati kabisa kwenye nyumba na kuezeka upya. Familia yake kwa Sasa iwe karibu nae.Hivi huwa mnadhani PM au Rais ni miungu watu flani hivi na hawana hisia au hawaendi chooni?
Majaliwa kama mwanaume, baba, mume, mjomba na babu wa mtu flani lazima awe na mawazo from time to time.