tatizo ndilo hilo mkuu,inabidi ukipata PM ukae kimya usimwambie mtu yeyote duniani. Ukiwa msiri sana utazikimbia PM waweza pata kama 10 na zaidi kwa siku.Huna haja ya KUJIGAMBA kwa kupewa PM....labda kujigamba huko kuwe kwa SIRI....aaah siunajua tena? maana ya PM private message ujumbe binafsi hatakiwi mtu yeyote duniani hapa aujue. NAHISI MKUU PM umeziwangia(umezifukuza) mwenyewe......KUWA MSIRI NI MOJA YA SIFA NZURI YA MWANAMME(SIJASEMA HUNA SIRI).