PNC: Acha nife kivyangu..

PNC: Acha nife kivyangu..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mkali wa sauti , panclas ndaki "pnc" amefunguka kuwa ameamua kupambana kivyake bila msimamizi kwenye game ili kuhakikisha mziki wake unasonga mbele. Amefunguka hayo Mara baada ya boss wa management ya mtanashati entertainment iliyokuwa ikimsimamia , ostaz juma na musoma kumuaibisha mtandaoni kwa kuweka picha za staa huyo alipokuwa akimuomba msamaha.
 
Kaniudhi mimi huyu msaniii kumpigia huyo magotiii,sijui atunge nyimbo gani ili nifurahishwe na usanii wakee
 
juhudika broo af huyo juma na musoma atoe hlo jina la ostaz hastahil kuitwa hvo
 
kasha lost..abadilishe fani ya kumuingizia hela
 
Kitaa wanasema ukishajitenga tip top connection hutasikika kwingine,maana boss wao anawapiga dumba kinoma,sasa sijui ndo tuseme aliwapiga kina PNC,Z-Anto na PNC maana hawasikiki tena
 
Utata juu ya utata maana juzi hapa wamepost picha wako studio mazuu rec wanafanya ngoma pamajo na uyu meneja wake wimbo unaitwa "thamani yangu" akawaambia wafuasi wake wakae mkao wa kula niaje leo aseme anajibeba kivyake.
 
huyo hata abebwe na radio zote hawezi hit kama mwanzo mziki kwishney kwake
 
Kama hamjiwezi na kujibeba msiondoke kwenye mbeleko
 
ila jamaa ana mwanya balaa
namshauri aandike nyimbo akawauzie wakina Dayamondi
 
Back
Top Bottom