Pobga kuivaa Southampton leo

Malcolm X5

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
1,639
Reaction score
2,752
Jose mourinho amethibitisha kuwa paul pogba ataanza katika mchezo wao wa leo wa ligi kuu england dhidi ya southampton,huku akikataa kuwa nyota huyo wa pauni 100 million anaweza kuwa bado hayopo fiti.pogba ambaye sasa ana miaka 23,amefanya mazoezi na manchester united kwa muda usiozidi wiki mbili Carrington,baada ya kumaliza mapumziko yake ya kutoka katika Euro 2016 mjini paris.
Mourinho hana shaka kwamba mfaransa huyo mwenye urefu wa futi6 na inchi 3,ambaye alitokea benchi mara saba alipokuwa na united msimu wa 2011/2012 kabla ya kusajiliwa na juventus,yupo teyari kuwavaa vijana wa kocha claude puel.........

credit:mwananchi sport.
 
Kichwa cha habari hakiendani na kilichomo...

Pili... all day mna-itajataja hiyo 100,ingawa haifanani naye hata kidogo...hata 50 bado nyingi mno

Ni hayo tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…