Pochi Nene ni naniii!!!?

Pochi Nene ni naniii!!!?

raphaelpol

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
207
Reaction score
132
Huko kunako mtandao pendwa wa Instagram kumeibuka mfululizo wa picha za mwanadada murembooo wa haja anaekimbiza kweli kweli, nimejiuliza mara kadhaa huyu ni nani, ni mwanamitindo, ni video vixen, ni mcheza porn au ni nani haswa!! Anyone knowing!!!!?
 
Kweenda zako huko, unataka tuku follow [emoji23][emoji23][emoji23]....
Ujinga wenu pelekeni huko huko mamaeeee [emoji36][emoji36][emoji36]
 
kamuuliz mange kimangi sindo uko naye Insta sisi tuulize ya hapa tu JF.
 
Pochi nene si walleti yenye kushiba mpunga? Zaidi ya hapo mbwembwe tu.
 
Hiyo hapo moja ya pics za huyo pochinene
IMG-20180502-WA0016.jpg
 
Hyo pochi nene wanamaanisha kipochi manyoa ndo kinene au?
 
aloo kama ni huyo hiyi 'box manyoya a.k.a pochi' itakuaje ..si ni zaidi ya gunia la udaga?
 
Back
Top Bottom