Pogba autamani Umaskini

Black skin tunalaana wallah Sio za Africa Europe au USA Wote tunamatatzo sijui alietupa hii laana alikua na dhamira gani haswa
 
Msimlaumu kwakuwa hamjawahi kuwa nazo hizo hela,wazungu waliposema more money more problem sio kwamba hawajui,pesa kwa watu wengi sana zimewafanya watu kuyakumbuka maisha ya furaha na amani walipokuwa watu wa kawaida(sio ufukara)kuliko kuwa na mabilioni ya hela na kuishi kwa mateso ya kukosa amani.Tafuta hela ndugu ukishakuwa nazo utatupa mrejesho....
 
Edison Cavani: "It's very difficult to give up your freedom, because as a football player you're always on the bus, in a hotel, plane or stadium. I miss being a kid and have freedom of no commitment or responsibilities. People think that being famous or having money is the most important thing, it's not. Successful people are those who live with freedom, who live their lives with their fully with their loved ones.
 
Lakn hajasema hataki tena pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…