davidmanjira
Member
- Jun 9, 2015
- 45
- 8
Baada ya kusajiliwa kwa dau kubwa na kumfanya awe mchezaji ghali zaidi dunian kwa kipindi hiki ni kama amebeba mzigo mkubwa ambao hata yeye mwenyewe utamfanya ajitume zaidi kuuonyesha ulimwengu kuwa alistahili dau hilo