mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Umekalia nn mkuu?Bora wangemchukua balloteli...pogba hakuna kitu pale
kuna lugha umetumia humu,cjui ni lugha ganiWale wenzangu na mimi wabishi sasa yamekuwa pogba asilimoa 110 % anaenda zake aon Carrington
wengi walibisha tena wapinzan lkn no way but is it true that paul pogba weathier 100 mil pound?
the answers always is yes.
He is a marketing
timu ikitumia vibaya hela,inaporomoka kiuchumi,inaporomoka kimpiraMashabiki hatuna shida na hela,tunachotaka ni timu ishinde na kuchukua vikombe..
Kama timu inatumia sana hela na inachukua vikombe sidhan kama inaweza kuporomoka kiuchumi shida ni kutumia sana hela lakini huchukui vikombe,timu ikitumia vibaya hela,inaporomoka kiuchumi,inaporomoka kimpira
unadhan kwa uingereza unaweza kutumia sana hela na kuchukua vikombe kirahisiKama timu inatumia sana hela na inachukua vikombe sidhan kama inaweza kuporomoka kiuchumi shida ni kutumia sana hela lakini huchukui vikombe,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna lugha umetumia humu,cjui ni lugha gani
Duuuh balloteli tena!!! balloteli hawezi kumfikia pogba hata kidogoBora wangemchukua balloteli...pogba hakuna kitu pale
hawa vijana tabu sana,kuna lugha umetumia humu,cjui ni lugha gani
Inawezekana maana Madrid wameend interest to pogba hii inatoa nafasi kwa man united na huenda habari za chinichini wamefikia makubaliano ndo mana madrid wamejitoaSource yako ni nini au umeota?? Sky sports hawajasema, bbc hawajasema, au mwanahalisi wamesema??