Pogba mchezaji aliyenunuliwa kwa bei Kali paund million 100 ni sawa na billion 200 Tsh na zaidi,Mimi kwa mtazamo naona kichefuchefu hata kimbia yake utafikiri hakunyonya maziwa,sasa Leo kaamua kushika Mpira na penati ikapigwa na wakafungwa,hiyo bei ni ya akina Sanchez