Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
cha kutoka Wolfsburg kurudi EPLPogba pia alikuwa injured.
Mechi walizocheza pogba total alicheza 52 debruyne 50. Alimzidi mechi 2 tu ila pogba alimpita assists za kutosha na magoli ya kutosha. Goal and assist per minute pogba pia alimpita.
Bado hujanijibu umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora kuliko pogba?
hata Wolfsburg alizungukwa na world-class?Ukitaka kumjua Pogba ni nani angalia akiwa France anapocheza na Ng'olo na Blaise,hauwezi kuuliza Paul atakumbukwa kwa lipi wakati mashindano yenyewe ya dunia yanamkumbuka Paul kuliko Kelvin, Kelvin Club level na national team kazungukwa na world class player ni haki yake kufanya vizuri club level, sasa mnataka Paul afanye kipi kwa kucheza na matic na mctominnay ?Assist gani Kelvin kapiga Paul hajawai kupiga? Paul ni full talent halazimishi soka, Kwenye ukweli tuwe wawazi.Nimalize kwa kusema unapokuta Paul yupo FIFA Pro XI sio bahati mbaya dunia inamjua vizuri,na Club level Kelvin anamzidi Paul kuchukua makombe tu sio individual performance (zingatia statistics)
alikuwa anapoteza mipira tu mbele ya horjberg week iliyopita KDB wa wolrfusburg umemuona?ujue kwa mtu makini ukichuoguza
utakuja kugundua pogba ni bidhaa moja adimu man u wanashindwa kuitumia..
pogba ukiangalia moves zake,jicho lake anapokuwa na mpira au hana, utagundua ni bahati man u wanaichezea..
wanachotakiwa kufanya ni kutafuta viungo wawili wanyumbulifu.. kama yule bruno fenarndez angecheza na pogba pale, ndo ungemuona pogba vizuri.
pogba ukitaka uone mavitu yake, muweke acheze kiungo mshambuliaji then awe free, kazi yake iwe kupandisha team uone!
pale man u anapata tabu sana, kazungukwa na matic,fred na takataka zingine. unategemea afanye nini?
wakati kdb kazungukwa na kina d silva, benardo silva, gundogan, rodri, fernandinho! huoni tofauti hapo na kdb anakuwaga free tofauti na pogba.
si unaona kule france anavyokiwasha? sababu? anacheza na watu wawili wenye akili kama zake. (kante,matuidi) tofauti na uko man u sijui..
KDB kaiteka dunia akiwa wolrfusburg akiongoza assist dunia nzima pogba aliwahi kuongoza lini?KDB kaachwa mbali sana na pogba huyu pogba hivi nyie mnamchukuliaje. Huyu ni mmoja ya viungo bora sana kwa wakati huu huwezi mfananisha na KDB hata statistics tu ukiangalia huyo sope wenu kaachwa mbali sana. So mjadala ufungwe hapa jibu ndo hilo
Misimu ya 2017 -2018 na 2018-2019 pogba kampita debruyne total goals na assists kwenye ligi.
Umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora?
inatosha mkuu au uongeze sauti kidogo?2017/2018 Kaangalie Vizuri Mkuu.
2018/2019 Ni Msimu Mbaya Kwa KDB Maana Amekaa Nje Takribani Nusu Ya Mechi Zote Walizocheza
2019/2020 Balaa Lake Amelianza Na Sidhani Kama Litazima Asipopata Majanga Maana Ndio Key Player Kwa Sasa Wa City Toka Fenandinho Alipoanza Kupata Majeraha Ya Kila Siku
at least you made it too analytical.Kwanza umeanza kumkashifu Pogba kwamba hana cha ziada zaidi ya kunyoa nywele...inaonesha kabisa una mapenzi na Kelvin ambaye unamfananisha naye...Lakini kujibu swali lako, Kelvin na Paul wanazidiana kidogo sana...kwa sasa, Kelvin ni bora kuliko Pogba...tena sana na katika maeneo mengi...lakini hii isikusahaulishe kuwa Paul ni world class player...ameflop tu kwa kipindi hiki na inawezekana kwa factors nyingi...ukitaka kujua hili, angalia world cup iliyoisha kwa individual statistics, ni kiungo gani kacheza vizuri kwenye ile tournament zaidi ya Luka na Paul...its only a matter of time tu kwa hao mafundi...ila in case of me, wote ni bora sana...
Anyway, enjoy soccer bro...Football is not about comparisons, is life....enjoy it!
Wolfsburg alifanya kitu gani lete takwimu, usiandike kwa mihemkohata Wolfsburg alizungukwa na world-class?
Vipi mkuu?Wewe bwana wewe![emoji23][emoji23]
You are talking rubbish KDB kamzidi kila kitu PogbaKitu pekee debruyne anampita pogba ni ukamiaji uwanjani jamaa anajituma sana kuliko pogba ilo halina ubishi pia debruyne anacheza mpira kazikazi basic football. Pogna is real talent though ni mvivu sana na hajitumi na anacheza mpira wa vikorombwezo kibao na bado yupo juu kwa numbers. Hio misimu miwili waliokuwa epl kampita total goals total assists total attempted assists etc
Kwel kabisaKDB kamuacha Pobga mbali. Kijana yupo very consistent. Yaani hata akipiga game kwa 70% ya potential yake, maangamizi kwa team pinzani huwa makubwa. Pogba mechi kibao tu huwa anapotezwa. Overrated.
Sema nn kdb kamzidi pogba acha kuongea kwa mihemko toa facts.You are talking rubbish KDB kamzidi kila kitu Pogba