princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Pale unapoamka asubuh hujisikii kwenda kazin, unaamua kutuma Ujumbe kua unaumwa,
mida ya SAA tano unampigia cm demu wako na anakuja geto,
mnajifungia ndani kimyaaaa, Mara mlango unagongwa kwa jeuri unajibu "nan we unagonga kama kwako?
" Unataka na kwenda kufungua, USO kwa USO unakutana na wafanyakaz wenzako wakiwa na boss wako wamekuja kukujulia hali,
unawakaribisha ndan wanalikuta goma lako limejilaza khanga moko hoooii,
hapo ndipo sura yako itafanana na ya mourinho anapomtazama pogba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]