Usisahau hao ni mambumbumbu hawana la ziadaHahahaaaaa hivi mashabiki wa Simba walikuwa na matumaini kabisa ya kurudishiwa points 3?
Hakuna mpira unaochezwa mezani Duniani.
Labda "Table Tennis" tu nifah..[emoji23]Hahahaaaaa hivi mashabiki wa Simba walikuwa na matumaini kabisa ya kurudishiwa points 3?
Hakuna mpira unaochezwa mezani Duniani.
Kama maalim seif......safari Ya UN
Nmeliona hilo swala..means ni typing error au kuna kuhuni mmoja kajiandikia huo upuuzii..though am Young African fan!!Mim sio shabik wa timu yoyote hapa bongo ila na nyie waTz kweli lugha ni tatizo aisee, "governing boy" ndo nini hiyo ati? Na "tha" je? Af bado mnaiamini hiyo barua.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]“Notwithstanding the above, we are now in the position to inform you that after carefully examination of all documents submitted by both Simba Sports Club and Tanzania Football governing body namely TFF, it was considered that no further changes was necessary to the decision by TFF special committee” Moja ya maneno katika sehemu ya barua hiyo ya FIFA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]FIFA: Kwenye hiyo mechi, Kagera Sugar walichezesha wawchezaji wangapi?
Aveva: Wachezaji 11 sir
FIFA: Mechi ilichezwa kwa dakika ngapi?
Aveva: 90 mkuu?
FIFA: 90 nini?
Aveva: Dakika 90 mkuu.
FIFA: Unapoongea na mimi usinijibu kihuni huni, kwa nini unaongea kama umezaliwa sokoni?
Aveva: Makao makuu ya klabu yetu yapo sokoni mkuu.
FIFA: Ok, hayo tuyaache. Hebu niweke wazi, matokeo yalikuwaje baada ya dakika 90?
Aveva: Tulifungwa 2-1
FIFA: Sasa malalamiko yenu ni nini hasa?
Aveva: Kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano
FIFA: Huyo ni kati ya 11 wanaostahili kuwepo uwanjani au alikuwa wa 12?
Aveva: Ni kati ya 11
FIFA: Sasa hilo liliwaathiri vipi kama timu uwanjani?
Aveva: Mimi sijui, Manara ndio alisema tukomalie hapo hapo.
FIFA: Manara ndio bosi wako?
Aveva: Hapana, mimi ndio bosi
FIFA: Dah, this is too much for a day. Ok, wewe rudi nyumbani ukasaidie kudhibiti makinikia, mimi nitasawazisha hii hali kuhakikisha usawa katika hili ili msipunjike.
Aveva: Asante sana mkuu, ngoja tukaandae sherehe za ubingwa.
MAAMUZI YA FIFA: Mechi ya msimu ujao kati ya Simba na Kagera Sugar, Simba itaruhusiwa kumchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano ili Simba imfunge Kagera Sugar 2-1. Namna gani Simba watahakikisha kuwa na mchezaji mwenye kadi 3 za njano kabla ya mchezo wao na Kagera ni jukumu la klabu ya Simba yenyewe.
Same to meNimecheka sana
Wakienda UN so muamuzi atakuwa Yanga kwani Yanga anajiita UNha ha Simba sc waende UN
Hapo ndio watashushwa daraja kabisaKateni rufaa tena msikubali
Mlisusa akapewa kagera sugarHvi hakuna njia nyingine kuzipata hzo point 3? lakini i do hope zawadi zetu za mshindi wa pili bado zipo tukizihitaji!
1:WAJINGA NDIO WALIWAOPole sana simba m 35 zimeliwa na FIFA duu