Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna

Point zako ulishinda mechi!?hizo ni point za kagera mnazilazimisha lakini nashuru point mmenyimwa!
Ni wakati muafaka kwa viongozi wote wa simba kufukuzwa aingie yule mpiga gitaa maalufu HASSAN DALALI
 
tunajua mbona,haya tupe na matokeo ya kule dododma muda huu!
 
Mi nawaamin FIFA hata Simba wanajua kule hakunaga uswahili na ndo haki walioitaka na imetendeka,HONGERA NYINGINE KWA YANGA
 
Ilikuwa mbinu ya kuwatuliza mashabiki. Walijua hawafiki popote. Rage gwiji wa sheria za FIFA hakulijua hili?
Wajaribu mwakani. Wakiongoza kwa point nane wajue kuwa consistent!
Walishaanza kujitapa eti lazima watwae ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…