Point; je unafaham jinsi ya kuondoa madoa katika pasi ya nguo?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Mara nyingi watu hujisahau sana na kujikuta pasi imeunguza nguo na hivyo kubaki na mabaka meusi ambayo kama ukinyoosha nguo ambayo ni nyeupe, kuna uwezekano nguo kuchafuliwa...
Basi mimi binafsi utafiti nilioufanya, nimegundua njia ndogo ya kuondoa madoa katika pasi.
Tafadhali fuata hatua hizi!
1:chomeka pasi yako katika umeme, ongeza moto mpaka point ya maximum
2😛aka pasi yako sabuni ya kipande (tafadhali sabuni isilowekwe) sehemu ya kunyooshea!
3:chukua kidonge chochote kama ni panadol au aspirin, weka juu ya pasi sehemu ya kunyooshea halafu sugua kwa kutumia kitambaa au nguo nzito ili usiungue!
4😱ngeza vidonge kadiri viishavyo mpaka madoa yatakapoisha kwenye pasi yako!
Futa pasi kwa kitambaa hicho kizito wakati pasi ikiwa ya moto na kidonge kikiwa kimeyeyuka!

Hodi jamani ndo kwanza naingia jf!
 

Poa m2 wangu.
 
Mbona hujasema kuhusu suffocation ya huo moshi ni balaa!nilifikiri ni njia mbadala hiyo mkuu unakohoa had bas
 
Hivi vidonge husababisha allergy nz hztimaye kuwakataa watu pale wanapokuwa wagonjwa
 
hii njia ni ya kweli mi huwa ndio nai2mia,angalizo ucje chukua chukua tu mavidonge,aspirin au panadol,ndio vizuri na havina moshi,ila vingine unaweza kimbia nyumba huo moshi wake na utakohoa,mwenye tb,ana nafuu.,
 
hii njia ni ya kweli mi huwa ndio nai2mia,angalizo ucje chukua chukua tu mavidonge,aspirin au panadol,ndio vizuri na havina moshi,ila vingine unaweza kimbia nyumba huo moshi wake na utakohoa,mwenye tb,ana nafuu.,

mkuu ni kweli kama una allergy na moshi utakohoa kweli! Ila sasa hamna njia nyingine ya kupitia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…