Point of Sale System kwa wauza maduka/pharmacy na supermarket

Point of Sale System kwa wauza maduka/pharmacy na supermarket

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
282
Reaction score
219
Habari wadau,

Nawakaribisha kwa ajili ya huduma zangu nzuri .

Niko na systems au applications ambazo zinafaa sana kwa wale wenye maduka ,supermarkets ,pharmacy au biashara nyingine yoyote ambayo unahisi unapenda kuangalia mahesabu yako viruzi.

Vitu ambavyo unaweza kuvipata
1. Kurekodi mauzo yako
2. Kurekedi/kuingiza manunuzi yako
3. Kurekodi bei za biadhaa zako
4. Kuingiza idadi ya biadhaa zako/stock
5. Kuangalia /kupata taarifa ya expiry
6. Kuwa na sehemu ya bei ya jumla,na rejareja
7.Kupata ripoti za faida
8. Kupata ripoti za stock yako na mzunguko wa vilivyoingia na kutoka
9. Mfumo wa point kwa bidhaa
10. Na kadhalika

Pia tuna mifumo inayofaa Hospital Management System, Hotel Management, Asset Management ,File management system, Task Managamanet system,Ticketing system etc

Karibu sana .Kwa yoyote atakayependa tuongee kwa karibu ,njoo inbox.

MJC
 
Sorry wakuu kwa kuchelewa kujibu.

Mfumo huu bei yake halali kwa malipo ya kitanzania ni 1m,na utahitajika kuwa na computer na vifaa kama nitakavyoorodhesha.

Mfumo huu unaambatana na vifaa hivi ili uweze kufanya kazi vizuri.

barcode scanner 200,000 -300,000
Receipt printer -ziko bei tofauti tofauti
Computer full(CPU & Monitor ,keyboard,Mouse) 400,000 -600,000

Ila vifaa hivi sio mimi ninavyoviuza ila ninafahamu tu upatikanaji wake

Karibuni
 
Naomba number zako nina mahitaji ya kazi zako
 
Back
Top Bottom