POSO Tanzania ni ofisi ya uwezeshaji wananchi kiuchumi chenye database ya wateja wake 250,000 kila mkoa na wameingia rasmi kwenye sekta ya filamu kwa kuwachukua waigizaji nguli kama Rich(Single Mtambalike), Jb(Jacob Steven) na King Majuto (Amri At human) na sasa wapo Mwanza kutengeneza filamu itakayofahamika kama Ngosha. Filamu hii itasambazwa kupitia wateja waliopo
kwenye mfumo wa POSO wanaokadiriwa kuwa milioni tano nchi nzima maana Yake watu wasiopungua milioni NNE watanunua filamu hiyo. (4,000,000 ×3000) = Tshs 12bilioni zitatengenezwa kwenye filamu moja hiyo ya ngosha. Wasanii hawa wametengewa asilimia 30 ya faida yote.
Ukombozi huo wasanii changamkeni.