Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Young Warlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
328
Reaction score
111
Wanajamvi,

Kumbe kitendo cha kugomea divistion V ndio imeletwa katika sura tofauti. Hivi tunaipelekawapi elimu yetu jamani? Ukifuatilia mgawanyo wa Grades utagundua hii ni janja janja na ufaulu umepanda tokana na janja hiyo.

-------------




 
Leo nimeanza kuona maajabu ya dunia pale nilipokutana na mambo ya ajabu sana katika matokeo ya kidato cha nne kwa kukuta division 4 ya point 43. Hivi wadau elimu yetu kwanni tunaruhusu wanasiasa waichezee kias hiki?
 
Leo nimeanza kuona maajabu ya dunia pale nilipokutana na mambo ya ajabu sana katika matokeo ya kidato cha nne kwa kukuta division 4 ya point 43. Hivi wadau elimu yetu kwanni tunaruhusu wanasiasa waichezee kias hiki?
weka supporting document!
 
Wiz mpk wa fikra tunaibiw hku tunajiona.chenga tu ila fine tunaandaliw angalau ht wahudum wa ndan wanaojua kusom aina za dawa ht ukimwachia mtot roho haiwi juu sn,form four ya dvs 4 n 5 haipishn sn na std 7 thy ar equivalent bt not equal.
 
Evidence please or else uzi wako si wa kuaminiwa hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nimeangalia matokeo hayo hadi sasa naona nyota tu kichwani, siamini jinsi wanasiasa wanavyoandaa tabaka la wasema 'ndiyo mzee' kama hali itaendelea hivi ni HATARI SANA kwa watoto wetu
 
Zati iz bigi risati nau. kiwango cha ufaulu kimepanda meeeeeen
 
Leo nimeanza kuona maajabu ya dunia pale nilipokutana na mambo ya ajabu sana katika matokeo ya kidato cha nne kwa kukuta division 4 ya point 43. Hivi wadau elimu yetu kwanni tunaruhusu wanasiasa waichezee kias hiki?

Tukicheza na Serikali ya Maccm hakya Mungu itafikia mtu anamaliza Chuo Kikuu hajui kusoma wala kuandika... Elimu ya Tanzania inashuka vibaya.. Ukiangalia kwenye mtandao wa Ranking Web of Universities UDSM ambacho ndiyo chuo tunachojivunia kwa kipindi cha miezi sita kimeporomoka kutoka nafasi ya 12 hadi nafasi ya 27 kwa Ubora nyuma ya Makerere na Nairobi Universities... Kwa mujibu wa mtandao huo hivi ndivyo vyuo kumi bora kwa Tanzania kwa mujibu wa mtandao huo (Africa | Ranking Web of Universities)

Country ----- Africa ---- World rank
1. UDSM ---- 27-------- 2284
2. Sokoine ------92 -------- 5549
3. Muhimbili -----116 -------- 7040
4. OUT/Open----- 132-------- 7085
5. H. Kairuki ------163 --------9017
6. Mzumbe --------191 ------ 10046
7. KCMC ---------- 230-------- 11367
8. IFM ------------ 291--------- 12728
9. St. August/Mwz-- 320 --------13405
10. Tumaini/Iringa---- 340-------- 13800

Kwa mwendo unaoendelea tutegemee kushuka zaidi Afrika na dunia...
 
Kusema ukweli binafsi huwa nafikiria sana sisi kama Taifa la Tanzania tunakwenda wapi? Hatujielewi hapa Duniani tuna-play part gani?
 
hv watz mbona 2napenda kulalamika sana? kwan huo c utaratibu mpya wa kupanga matokeo! mbona kenya na ug wanatumia wastan? mbona vyuon kinatumika k2 kinachoitwa G.P.A? kwani nyie mnaolalamika kwamba huo utaratibu unashusha kiwango cha elmu tz hebu 2peni ushahidi
 
Mmesahau haya

Jedwali Na 1
MUUNDO WA ALAMA NA UFAULU​
[TABLE="width: 582"]
[TR]
[TD]
ALAMA​
[/TD]
[TD]
UWIGO WA ALAMA​
[/TD]
[TD]
IDADI YA ALAMA​
[/TD]
[TD]
TAFSIRI​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
A​
[/TD]
[TD]
75 - 100​
[/TD]
[TD]
26​
[/TD]
[TD]
Ufauli Uliojipambanua​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
B+​
[/TD]
[TD]
60 - 74​
[/TD]
[TD]
15​
[/TD]
[TD]
Ufaulu bora sana​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
B​
[/TD]
[TD]
50- 59​
[/TD]
[TD]
10​
[/TD]
[TD]
Ufaulu mzuri sana​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
C​
[/TD]
[TD]
40 - 49​
[/TD]
[TD]
10​
[/TD]
[TD]
Ufaulu mzuri​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
D​
[/TD]
[TD]
30 - 39​
[/TD]
[TD]
10​
[/TD]
[TD]
Ufaulu Hafifu​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
E​
[/TD]
[TD]
20 - 29​
[/TD]
[TD]
10​
[/TD]
[TD]
Ufaulu hafifu sana​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
F​
[/TD]
[TD]0 - 19[/TD]
[TD]
20​
[/TD]
[TD]
Ufaulu usioridhisha​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa aina hii ya muundo wa alama, na kwa kuwa muundo wa GPA utaanza kuandaliwa na wadau kuelimishwa kabla haujaanza kutumika, katika kipindi hiki mpaka wakati huo, muundo wa madaraja utakuwa kama inavyooneshwa kwenye jedwali la 2 hapa chini.
Jedwali Na 2
MUUNDO WA MADARAJA​
[TABLE="width: 640"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
MUUNDO WA ZAMANI
[/TD]
[TD="colspan: 2"]
MUUNDO MPYA
[/TD]
[TD]
MAELEZO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
POINTI
[/TD]
[TD]
DARAJA
[/TD]
[TD]
POINTI
[/TD]
[TD]
DARAJA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7-17[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]7-17[/TD]
[TD]I[/TD]
[TD]
Kundi la ufaulu uliojipambanua na bora sana​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18-21[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]18-24[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]
Kundi la ufaulu mzuri sana​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]22-25[/TD]
[TD]III[/TD]
[TD]25-31[/TD]
[TD]III[/TD]
[TD]
Kundi la ufaulu mzuri na wa wastani​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26-33[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]32-47[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]Kundi ufaulu hafifu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]34-35[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]48-49[/TD]
[TD]V[/TD]
[TD]Kundi la ufaulu usioridhisha

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
itakuewa mkuu hata div 5 ulikuwa hujui kama imeanza kufanya kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…