Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Ndio shida ya elimu zilizoletwa kwa meli. Bora turudie elimu za jando na unyago.
 
kwahyo kwa sasa E ni pass??vyuo kwa level ya certificate walikuwa wanaitaji pass tano equivalent D tano.hayo matokeo yanahitajika ufafanuzi wa hali ya juu.
 
Leo nimeanza kuona maajabu ya dunia pale nilipokutana na mambo ya ajabu sana katika matokeo ya kidato cha nne kwa kukuta division 4 ya point 43. Hivi wadau elimu yetu kwanni tunaruhusu wanasiasa waichezee kias hiki?

Hapo ngoma inakuja kwenye kujiunga Form V kwani majamaa watapa watu wachache sana kwani ufaulu ni mdogo sana kwa viwango vya kupangiwa shule! Na hizo credit zinahesabiwa kwa kuchukua masomo saba aliyofaulu mtu na kuanza kuhesabu kama hivi:- A=1; B+=2; B=3; C=4; D=5; E=6 na F=7!
 
katika maajabu saba ya dunia, tanzania nayo ni ajabu la nane la dunia
 
Hapo ngoma inakuja kwenye kujiunga Form V kwani majamaa watapa watu wachache sana kwani ufaulu ni mdogo sana kwa viwango vya kupangiwa shule! Na hizo credit zinahesabiwa kwa kuchukua masomo saba aliyofaulu mtu na kuanza kuhesabu kama hivi:- A=1; B+=2; B=3; C=4; D=5; E=6 na F=7!

nimeona A+ au ni macho yangu?
 
Ni mambo ya BRN hayo, nimeona kuna aliyegonga THREE ya 29. Kazi tunayo!
 
nadhani hata wenyewe hawataki ufahamu.....utaleta shida
 
Majanga haya....watoto ndio watazid kushinda instagram na Fb oh na watsup#fursa kwa wote#.Tanzania bila vilaza inawezekana#
 
Back
Top Bottom