Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Evidence please or else uzi wako si wa kuaminiwa hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

unataka evidence kutoka mbinguni au unataka evidence gani?ingia ....NECTA.ORG.TZ chagua shule utaona aina za matokeo huko
 
masuala ya kutafuta jiwe hayapo mwaka huu,elimu imekuwa lainiiiii!Duh serkali inatuaibisha wasomi wa zamani! fyuuuuuuuuu!
 
ndugu wadau matokeo ya form4 yametoka na ufaulu tunaambiwa umeongezeka. ila kiukweli ufaulu ni uleule wakawaida.binafsi sijawaelewa baraza la mitihani kuweka alama A,B+,B-,C,D,E,F ..mtu anapata hadi four ya 45.kiukweli tuache kupamba matokeo bali tuboreshe elimu mashuleni. kwasababu aliyepata E sasa kwa matokeo ya zamani angepata F.
 
Ni upuuzi mtupu mtupu kabisa na hayana manyiki yoyote ni kichaaa tu atakayeelewa
 
Acheni wenzenu wafaulu, kwani mlitegemea nini baada ya kusikia kuna BRN?
 
hv watz mbona 2napenda kulalamika sana? kwan huo c utaratibu mpya wa kupanga matokeo! mbona kenya na ug wanatumia wastan? mbona vyuon kinatumika k2 kinachoitwa G.P.A? kwani nyie mnaolalamika kwamba huo utaratibu unashusha kiwango cha elmu tz hebu 2peni ushahidi

Wewe utakuwa umetumwa na ushindwe kwa jina wazalendo wa kitanzania.
 
"ILi baraza la mitihani limehodhiwa na washenzi ,wafaudhina na wahuni watupu "
kawaambieni nimesema hayo nyambafu kabisa et four ya 45 fyuuuuuuuu
 
Kweli Elimu sasa ni "Janga la Taifa".
Tuna taka Rais anaye itambua hilo 2015.
 
ndugu wadau matokeo ya form4 yametoka na ufaulu tunaambiwa umeongezeka. ila kiukweli ufaulu ni uleule wakawaida.binafsi sijawaelewa baraza la mitihani kuweka alama A,B+,B-,C,D,E,F ..mtu anapata hadi four ya 45.kiukweli tuache kupamba matokeo bali tuboreshe elimu mashuleni. kwasababu aliyepata E sasa kwa matokeo ya zamani angepata F.
anza na shule ya kata yako natumai wengine watafuata..
 
Wanafunzi wanapaswa kujituma sana kipindi hiki cha ushindani wa kielimu.Lawama nyingi zinaweza kusukumiwa Wizara tukasahau watoto wenyewe ambao hawajitumi ipasavyo kimasomo.Kutwa kuvaa headphones kusikiliza music,ni aghalabu kukuta wakiwa na vitabu wakijisomea..
 
Kwa matokeo yanavoonekana 2naweza sema I:7-17, II:18-24, III:25-33, IV:34-43&V(0):44+.Kwa hivo tusubiri Kawambwa atasemaje kwa ufafanuzi ufaulu unaanzia wapi na kuishia wapi!Huo ndoo msaada kwa sasa mpendwa.
Note:Nimeona DIV IV-46 wakati huohuo DIV 0-44;MKANGANYIKO TAYARI!
 
weka supporting document!

Wewe naona bado uko ki-analogue, hamia digitali, nenda: www.necta.go.tz

Hiyo divisheni 4 ya 43 ni sawa hajaenda sekondari, ni darasa la saba huyo. Ukiangalia kwa makini waweza kuta ndio hao waliopelekwa Form I kkwa nguvu za kisiasa huku hawajui kusoma wala kuandika. Namis mtazamo wa Elimu ya Kujitegemea wa Mwalimu Nyerere.
 
Evidence please or else uzi wako si wa kuaminiwa hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kweli zipo IV za 41, sasa nimepata jibu la division zero kupungua mwaka huu, lakini Mulugo si alipinga haya madaraja bungeni kwamba waziri yupo juu ya katibu mkuu hivyo kauli yake ndio final.
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0023
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' LIT ENG - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0024
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]41
[/TD]
[TD="width: 4%"]0
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' LIT ENG - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0025
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' LIT ENG - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'E'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0026
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]39
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0027
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]42
[/TD]
[TD="width: 4%"]0
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' LIT ENG - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0028
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]36
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0029
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'C' LIT ENG - 'B' BIO - 'C' B/MATH - 'D'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0030
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]41
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'E' LIT ENG - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0031
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]26
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' LIT ENG - 'B' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0032
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]36
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0033
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]40
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'E' LIT ENG - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0034
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' LIT ENG - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'E'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0035
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]27
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' LIT ENG - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'E'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0682/0036
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom