Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
oh, tatizo ni kwamba watanzania wengi hawjui ya kwamba kunatayarishwa makundi mawili katika jamii hii, watawala na watawaliwa, elimu ya tanzania , haina jipya wanaiharibu maksudi ili vizazi vyao viendelee kutawala, shule za binafsi ndo kidogo zinafanya vizuri katika ufaulu na je angalia ziko ngapi na watanzania wangapi wanaeza peleka watoto wao huko, embu angalia si kwamba sikipendi kiswahili, lakini eti wanataka masomo yaendeleee kufundishwa kwa kiswahili, hivi tutafika kweli, china yenyewe yenye mtaji mkubwa sasa hivi wanajifunza englishi kwa kasi zaidi , sembuse sisi maskini wa tz , we need changes