Point zetu vipi?

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
9,530
Reaction score
20,988
Wana simba njooni hapa mnitoe dukuduku swala la FIFA vipi mbona kmya hakuna kiongozi wala afisa yoyote anaye ongelea hili swala tena! au kmya nalo ni jibu?
 
[emoji85] [emoji87] [emoji23] [emoji23] Kumbe uchohachezi kuisha sio haraka??
 
Mpira wa miguu pointi zake hupatikana viwanjani,
Pooltable point zake hupatikana mezani!
 
Tuliwaambieni janja ya viongozi wenu, hamkutuelewa... Mtatuelewa tu
 
Alf Haji manara alitujaza ujinga tukajua mpambanaji kumbe mmbwa koko tu anabweka mkia kakunja
 
Kuna jb toka FIFA lililoletwa likionesha +ve au - ve? Kama kweli rufaa ilikatwa basi jb litaletwa. Vinginevyo iwe kwamba hawakupeleka rufaa
 
Kuna jb toka FIFA lililoletwa likionesha +ve au - ve? Kama kweli rufaa ilikatwa basi jb litaletwa. Vinginevyo iwe kwamba hawakupeleka rufaa
mkuu kwa swala kma hili lingekua lisha tolewa taarifa basi hata viongozi watupe dodoso nn kina endelea hiki kimya kina leta maswali bila majibu
 
Wana Simba wachache sana wana kumbukumbu kama wewe ila wengi ambao ni vilaza wamesahau na wamethibitisha kua wao ni mbumbumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…