Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 793
- 1,740
Nashukuru sana mkuu,itakuwa na msaada mkubwa kwangu. Kuna muda Hadi huwa namwambia jamaa yangu kuwa najuta Sana kujenga bila ya kufanya upembuzi yakinifu.Kuna Document nakutumia, Kuna mtu nilimfanyia ukaguzi...
well,ni kwasababu ya kukosa elimu husikaNashukuru sana mkuu,itakuwa na msaada mkubwa kwangu. Kuna muda Hadi huwa namwambia jamaa yangu kuwa najuta Sana kujenga bila ya kufanya upembuzi yakinifu.
Kama haujajenga juu ya mwambagreater than kuna majengo ya ghorofa 1 nimeona hawaweki jamvi yaan boma linaanzia tu baada ya mkanda wa chini as if ni nyumba isiyo ya ghorofa na wanaweka tu rough floor then tiles ingawa yana nguzo, mikanda na base kawa kawaida ya ghorofa zinavyojengwa hii kitaalam ni sahihi? je haiwezi pelekea jengo kutitia au kuanguka?
Kwa hiyo inawezekana kudesign then kujenga ghorofa moja bila jamvi na kusiwe na madhara au jamvi ni lazima no option?Kama haujajenga juu ya mwamba
Kutitia kwa jengo huwa ni lazima...ila kinachoangaliwa kiwango cha utitiaji...huwa initial settlement
Kwenye hilo Jengo....
Uzito wa jengo unapelekea kwenye nguzo, kwahiyo hapo ili lisititie,kwa kasi kubwa.
- Uhimilivu wa udongo
- Uzito wa jengo husika
- Sanifu ya mfumo wa nguzo
- Mazingira ya kiwanja
Inawezekana....Kwa hiyo inawezekana kudesign then kujenga ghorofa moja bila jamvi na kusiwe na madhara au jamvi ni lazima no option?