Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Kuna zile animation za music wanatengeza wale wanaija wanajiita poka kwa kweli ni nzuri sana wanatengeneza kwa kiwango cha juu
Waliwahi tengeneza video animation jeje ya diamond mpka mwenyewe alipiga salute
Sijui mmiliki wake hiyo studio ni nani?
Video animation kama
Orakila- in my maserati
Joeboy beginning,lonely
Reekado banks - Rora
Davido -jowo
Mr eazy - leg work
Na nyingine kibwena nimezifurahia.sana kwa kweli
Zitafute YouTube kwa channel yao
Nb sipo hapa kupiga promo hao ni wanaija siwajui