Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Wakubwa,
Nimeona ni bora nianzishe thread maalumu kwa ajili ya namba za simu za CHADEMA ili kila mwenye mapenzi mema nao awajulishe kama si kwa kupiga basi walau kuwatumia message tu.
TUmeso kuhusu matukio mengi ambayo yanahitaji kuwasiliana moja kwa moja wana-CHADEMA. Mfano ni kuchelewa kwa mawakala wa upnzani baadhi ya vituo na kukuta wakala mmoja hasa ile subuhi.
Hofu ni pale mtu analeta post ya malalamiko lakini anamalizia na kauli kwamba "walio na mawasiliano na watu wa CHADEMA" wawajulishe
Nimaemua kulimaliza hili kwa kuanzisha thread hii na kwa kuanzia ninazitaja namba zifuatazo za CHADEMA nilizo na uhakika ziko hotline kwa UCHAGUZI:
01: Mbogo: 0683-179001, 0714-776673
02: Mahinda: 0715-949019
03: Dady Igogo: 0713-616096
04: John Mnyika: 0754-694553
Hivyo tatizo la contact za CHADEMA sasa si issue. Wajulishe chochote unachokihisi negatively.
Moderators tunawasihi thread hii msiichanganye, iwe as conspicuous as possible yaani ipewe uwazi wa kutosha.