Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Sasa rasmi ukraine yaanza kuchokwa. Poland kasitisha misaada ya silaha kwa ukraine.
Naona joto limeanza kupanda muda wowote Ukraine atafosiwa akae mezani na Mrusi vita iishe.
Urusi apewe pongezi kwa kuweza kumudu kupigana na mataifa 31 ya NATO pale ukraine!
NB: Kuna uwezekano hifadhi ya silaha ya NATO imeanza kusisha sasa wanatafuta mlango wa kutokea.