Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz

Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz amefunguka hayo leo kapitia ukurasa wake wa Intrgram baada ya mwimbaji kutoka Marekani Chris Brown kuzuiliwa kuingia Canada na kusababisha kusitishwa kwa show zake mbili ambazo alitakiwa kuzifanya Canada ndani ya wiki hii.

Ommy Dimpoz ameonyesha jiNsi gani watanzania na mashabiki wake walilipokelea suala lake tofauti na kuonyesha kuwa watu wengi walimcheka na kumchamba wakiamini kuwa yeye ni mtu maarufu hivyo asingeweza kupatwa na suala hilo.

"Pole braza Kristofa, haya ni Mambo ya kawaida ila Mwenzio nilivyozuiwa kuingia Nchini kwenu Basi nilivyorudi kwetu nimechekwaaa,Nimechambwaa khaa,hawajuagi mambo ya Uhamiaji hawajali we nani."

Wiki ya wapendanao msanii Ommy Dimpoz alirudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kukosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo kufanya show.
 
Kwa hyo ommy dimpoz ni maarufu mpaka marekani au?
 
Huyu nae? Si aseme nini kilifanya azuiwe kuingia Marekani na tutasoma ya Chris B tuone kama issue zimefanana.

Amepatia kwa kujikosha tu, hadi aseme na maneno yake y nilirudishwa.

Ila hiyo ya watanzania kufurahia na mitusi juu sio vizuri.

Aweke survey online Asia huko wajibu kama wanamjua...Ommy nae angenyamaza tu haya yanatokea wasanii sana. Sio kutumia Chira B kujifunikia yanayomuuma rohoni.

Show hakufanya watu walilipa nauli za ndege, petroli etc kwenda ku enjoy weekend hiyo

Je aliandika kuwaomba hudhuru watu walionunua ticket etc huko marekani au alikaa kimya?
 
Huyu Ommy Dimpoz usikute alikosea kujaza form za ''airport''......:tinfoil3:
Kuna mijitu itauliza ..........................:tape:
 
Yan ommy anamwita chris breezy mwenzake au nakosea ahahahahahahahaha
 
R&B singer Chris Brown was not allowed entry to Canada on Tuesday, the singer said on Twitter, adding that he would be scrapping his scheduled shows in Toronto and Montreal as a result.
"Unfortunately I will not be able to perform in front of sold out crowds in Montreal & Toronto," Brown tweeted on Tuesday evening. "The good people of the Canadian government wouldn't allow me entry. I'll be back this summer and will hopefully see all my Canadian fans!"
Unfortunately I will not be able to perform in front of sold out crowds in Montreal & Toronto.
- Chris Brown (@chrisbrown) February 24, 2015
The good people of the Canadian government wouldn't allow me entry. I'll be back this summer and will hopefully see all my Canadian fans!
- Chris Brown (@chrisbrown) February 24, 2015
Brown was scheduled to perform on Tuesday evening at Montreal's Bell Centre, and Wednesday at Toronto's Air Canada Centre.
The singer did not disclose why he was turned away from the border.
Brown has several criminal charges to his name, including a 2009 sentencing to five years' probation for the assault of his then-girlfriend, singer Rihanna. In October 2014, the singer pleaded guilty to assault charges stemming from an incident the year prior. Brown has also undergone several stints in rehab, and has been penalized on numerous occasions for probation violations, most recently on Jan. 15, when his probation was revoked by an L.A. judge after the singer was found to have travelled without approval and had failed to complete his community service requirements.

sababu sio kushindwa kulipia viza.
 
Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz amefunguka hayo leo kapitia ukurasa wake wa Intrgram baada ya mwimbaji kutoka Marekani Chris Brown kuzuiliwa kuingia Canada na kusababisha kusitishwa kwa show zake mbili ambazo alitakiwa kuzifanya Canada ndani ya wiki hii.

Ommy Dimpoz ameonyesha jiNsi gani watanzania na mashabiki wake walilipokelea suala lake tofauti na kuonyesha kuwa watu wengi walimcheka na kumchamba wakiamini kuwa yeye ni mtu maarufu hivyo asingeweza kupatwa na suala hilo.

"Pole braza Kristofa, haya ni Mambo ya kawaida ila Mwenzio nilivyozuiwa kuingia Nchini kwenu Basi nilivyorudi kwetu nimechekwaaa,Nimechambwaa khaa,hawajuagi mambo ya Uhamiaji hawajali we nani."

Wiki ya wapendanao msanii Ommy Dimpoz alirudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kukosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo kufanya show.
c.rap,uhamiaji ya marekani wakujue wewe omari nyembo!!!!!
 
Nasikia ulialikwa na Chama chetu Ccm.vizuri ila nawashauri nyie wasanii,msikubali kutumiawa Kama tissue na Chama chetu,hebu amkeni mdai haki zenu.Nakumbuka uchaguzi uliopita wasanii mlikipigia Chama chetu kampeni ya kutosha.walikuwepo Tmk,marehemu ngwea,bushoke na wengine wengi.lakini baada ya hapo tulipochua nchi tupa Kule .nilifikiri wakina mama na baba vijijini wanapewaga kanga,na kofia ili kuchagua Chama chetu kutokana na uelewa mdogo,hata nyinyi mnaojua nchi inavyokwenda mnahongwa laki laki,kuwasaliti watz.amkeni 2015
 
Dah, mbona tofauti sana na mada?!!
 
Back
Top Bottom