Huyu ommy dimpaz bhana anajilinganisha na chris! ommy kapitia shortcut ya wiziwizi! alizuiliwi kufanya show kwasababu ya kesi yake iliyokuwa mahakamani na ile ya kumpiga rihanna na show nyingine kupoteza passport ya kusafiria! huyu tapel dimpoz asitufanye sis ni mabwege kias kwamba hatujui kinachoendelea!