Pole dada yangu Damie kwa kufiwa na baba yako mzazi

RIP Damie's dad.

Pole kwa familia husika na Mungu awepe uwezo wa kuweza kupita kipindi hiki cha huzuni
 

May God rest his soul in eternal peace~AMEN.

 
Da Mie,
Pole sana kwa msiba mkubwa ulio kukuta.
Magumu yapo ili yamfike mwanadamu, na mwanadamu amtegemeaye Mungu ana matumaini tele.
Mzee wetu Mawere katutoka , tumuombee apumzike mahali pema.
Daima tuko pamoja.
 
Pole sana mpendwa wetu DaMie Mungu akupe nguvu na faraja. R.I.P Dady.
 
Asanteni nawashukuru. Kazi ya mungu haina makosa. Baba ananiumiza sana mwenzenu.

Pole sana mpendwa DaMie.....

bwana ametoa,

bwana ametwaa,

jina la bwana lihimidiwe.....



RIP baba yetu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Damie. Mungu akupeni faraja kwa msiba huu mkubwa. RIP Baba Damie.
 
Damie, pole sana wewe na jamaa zako wote. Tuko pamoja na wewe ktk haya majonzi makubwa yaliyokusibu! Pole sana.
 
NAOMBA Na mimi nitie saini kwenye kadi ya BAK hapo juu.
RIP mzee wetu.
 
Pole sana Damie,
Ila Mzee wa Rula amekuruhusu kutaja identity ya Mzee wake, maana tayari umeshamu expose mwenzio.

aliyekuwa exposed ni damie sio mzee wa rula. amekosea, hakupaswa kufanya hivyo.
 
Asanteni nawashukuru. Kazi ya mungu haina makosa. Baba ananiumiza sana mwenzenu.

pole sana rafiki yangu, wala usisikitike mshukuru Mungu, muenzi baba kwa kufanya yale aliyo kuusia wakati wote wa uhai wake and you'll never feel the vacuum.

RIP baba DaMie
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada.Mapenz ya mungu yatimizwe na jina lake libalikiwe mana sote tu wapita njia hapa sin kwetu.
 
Pole Sana Damie.

Wanabodi huyu ni miongoni mwa wana JF wachache ambapo akikusoma unapost kutokea Dodoma, hujitoa japo kuja kukusalimia.

Kwake jf ni over and above keyboard.

Rip Baba wa Damie!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…