Kwetu kaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 582
- 475
Inawezekana zmefuzu tm mbovu sana mwaka huu kwenye kilab bingwa.Kwa michezo hayo mambo ya kawaida kwa mwakilishi wa nchi kupoteza mechi za nyumbani
Ismailia kwao inshika mkia ila ni miongozi mwa waliotinga 16 bora
Itazame almasr alahly zote ligi ya kwao zinasuasua
Ila kimataifa ni moyo
Hili hapaTeam Liboro
Muulize Rage atakujibuUmbumbumbu ndio nini
Kumbe ndo umbumbumbu wako.Muulize Rage atakujibu
Namba ya rage 0765........Kumbe ndo umbumbumbu wako.
Ndo inakuja mashujaa sasa we subiri mwkani.Mara ya mwisho kusikia timu kutoka kigoma ikicheza ligi kuu ni lini