wapenzi nawashukuruni wote nawapenda wote ..mungu awabariki sana kwa moyo wa upendo na huruma yenu kwangu ilikuwa ngumu kwangu kwani ndani ya week hiyo ya msiba nilikuwa na harusi pia ya mdogo wangu..
Lakini mungu katujalia na kutusimamia mambo yote yameisha salama kabisa
Mbarikiwe katika neno hili....
1Yohana 3:13-16 yasema, " Ndugu zangu,msitsaajabu, ulimwengu ukiwachukia sisi tunajua ya kuwa tumepita toka mautini kuingia uzimani, kwa maana twawapenda ndugu. Yeye asiyependa akaa katika mauti. Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji, nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake. Katika hili tumelifahamu pendo, kwakuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu, imetupasa na sisi kuutoa uhai wetu kwa ajili ya hao ndugu." Tunapo zungumzia juu ya wale walio waaminifu, tunaona ya kwamba yule aliyemwaminifu yuko tayari kupeana maisha yake kwa ajili ya ndugu (Warum 16:4). Kwa ajili ya watakatifu, tunahitaji pia kutoa maisha yetu kwa ajili yao. Paulo anasema kwamba, kwasababu ya upendo kwa ndugu zake katika mwili, wayaudi, alipendelea kulaaniwa
FL1