Pole Haji Manara kwa kuzimia mara 4 huko SA

Pole Haji Manara kwa kuzimia mara 4 huko SA

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Habari zilizopo ni Kwamba Haji Manara alizimia Mara 2 Huko HOTELINI SA Baada ya kipigo Cha Goli 4 Kavu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787].

Screenshot_20210517-122412.jpg
 
Naomba Mods wabadili heading badala ya Mara 4 waandike Mara 2 [emoji120][emoji120][emoji120][emoji2533][emoji120][emoji2533]
 
Huyo hana lolote ni usanii tu, anafagilia tumbo lake. Anafahamu vyema kuwa Simba hana mpira wowote wa kumuwezesha kucheza nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Afrika.
 
Wakuu Habari zilizopo Ni Kwamba Haji Manara alizimia Mara 2 Huko HOTELINI SA Baada ya kipigo Cha Goli 4 Kavu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]View attachment 1788217
Shida ya thimba ya Manara wakiona Rangi ya njano wanatanguliza dharau,kuwa hawa tutawapiga,mwisho wa siku wanaambulia kichapo wanachostahili.
 
Manara anatafuta Kiki Kwa Kujifanya Kama Kazimia, Halafu Mwandishi Alieandika Hii Taarifa Yake Walikuwa Nae SA
 
Huyo hana lolote ni usanii tu, anafagilia tumbo lake. Anafahamu vyema kuwa Simba hana mpira wowote wa kumuwezesha kucheza nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Afrika.
Anajitengenezea ujanja wakupiga pesa kwakina hanspope, barbara, mo, na matajiri wengineo
 
Kama ni kweli alizimia basi huyu sio tu ni mbwabwajaji wa simba, kumbe ana mapenzi ya dhati na klabu, hivyo cheo cha usemaji wa simba inabidi apewe cha kudumu afungishwe nacho ndoa ya kanisani..
 
Bado anadaiwa kuzimia mara mbili,akumbushwe zile goli zilikua 4 kwa hiyo bado.

Kila goli 1 mzimio mmoja
 
Back
Top Bottom