Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Samahani Mkuu,Mara 4 au mara 2?
Anaipenda timu yakeWakuu Habari zilizopo Ni Kwamba Haji Manara alizimia Mara 2 Huko HOTELINI SA Baada ya kipigo Cha Goli 4 Kavu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]View attachment 1788217
Sio inawezekana, ni makiki yake hayo kujaribu kuficha aibuInawezakuwa kiki zake tu.
Shida ya thimba ya Manara wakiona Rangi ya njano wanatanguliza dharau,kuwa hawa tutawapiga,mwisho wa siku wanaambulia kichapo wanachostahili.Wakuu Habari zilizopo Ni Kwamba Haji Manara alizimia Mara 2 Huko HOTELINI SA Baada ya kipigo Cha Goli 4 Kavu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]View attachment 1788217
Anajitengenezea ujanja wakupiga pesa kwakina hanspope, barbara, mo, na matajiri wengineoHuyo hana lolote ni usanii tu, anafagilia tumbo lake. Anafahamu vyema kuwa Simba hana mpira wowote wa kumuwezesha kucheza nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Afrika.