Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Mkuu serikali yetu tunaomba isilale kabisa mpaka ukweli umejulikana. Na unapomfanyia mabaya innocent man like Mzee Mengi ni lazima ita back fire immediately.

Sheria ifuate mkondo kama IGP alivyosema.

Watu wanakuja na mambo hivyo sana hapa.

Eti honey trap. Nyambafu!
 
Kila jamii inayo sifa nzuri na mbaya mnapozungumzia sifa mbaya za wengine nanyi zenu zinajulikana na kuzungumzwa

Wanawake wa kichaga wanajulikana tabia yao ya kuua waume zao ili wapate mali
Kama ni kweli mbona wapo wanawake wa kichaga walioolewa na wanaume wenye kipato kidogo zaidi
 
Wacha porojo wewe tafuta pesa zako nawewe uje uzungumzwe ukifa, unajificha kwenye pesa za kidume mwenzio? oooh tuko imara blah blah sijui jamii tafuta mkwanja wako hayo majungu achia wanawake mbaaf
 
Wacha porojo wewe tafuta pesa zako nawewe uje uzungumzwe ukifa, unajificha kwenye pesa za kidume mwenzio? oooh tuko imara blah blah sijui jamii tafuta mkwanja wako hayo majungu achia wanawake mbaaf

Povu halikusaidii kyasaka.

Pesa natafuta maana ni jadi yangu, ni jadi yetu, na hilo mnalijua.

Lazima ukweli uwekwe bayana. Msitutoe kwenye mstari na povu zenu kama vipi mkafulie.

Kama mamlaka zitasema hakuna shida, basi, na iwe hivyo, ila kama kuna shida bas wazimalize kihalali.

Kimila pia zitamalizwa, na maisha yasonge!

Unasikia we kyasaka?
 
Sasa kuna watu ambao hawatafuti pesa dunia hii wewe kijana mjinga?! Ukoo wa Mengi haumo, kwao hawakujui sasa kimekuuma nini? Pesa ni zake marehemu, mke alikua wake wewe umeumia kwa kipi maza fanta? Unaleta ukabila kwenye pesa za mtu asiye kujua? Nyinyi ndio hua mnaliwa jicho, mwanaume pambania upate zako mbaaaf
 
Wewe mjinga nini! unaleta uchawi kwenye koo ya watu matajiri? nani alikwambia wanafanya mambo hayo? Wewe ndio yule jamaa pastor Mboro? mbaaf
 
Wewe siyo mwanafamilia, acha wenyewe waje watuambie ukweli kuhusu kifo cha mzee wetu mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…